Friday, 6 September 2013


 Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai akimwamuru Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kukaa chini, Bungeni Mjini Dodoma Septemba 5, 2013.
 Wabunge wa Chadema wakiwa wamesimama kukaidi amri ya Naibu spika, Job Ndugai ya kuwataka wakae chini , Bungeni Septemba 5, 2013.
Wabunge wa CHADEMA wakipambana na Polisi, Bungeni Mjini Dodoma Septemba 5,2013.
Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiongoza wabunge wa CHADEMA kutoka Bungeni mjini Dododma baada ya kuamriwa kufanya  hivyo na Naibu Spika wa  Bunge, Job Ndugai Septemba 5, 2013. Picha na Ofisi ya waziri Mkuu