Friday, 6 September 2013

Issues of the heart advert web
Please remember to LIKE our Facebook Page - Trumpet Media Group and FOLLOW us on Twitter - @trumpetmedia

Issues Of The Heart (IOTH) - an organisation that seeks to empower women to appreciate themselves through training, development, counselling and mentoring; holds an event on Saturday 12 October 2013 in Orpington, Kent in England.
IOTH's vision is to help build a thriving local community, bring women from different backgrounds together and empower them to achieve positive and sustainable change in their own lives, families and communities. 
The birth of IOTH was inspired by the experiences and hopes of women who have shared issues of their hearts to encourage, advice and offer support to liberate their disadvantaged women folk.  

Mhe. Membe akutana kwa mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa China
image
image

picha ya juu:
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) (kushoto) alipokutana kwa mazungumzo na ujumbe kutoka Jamhuri ya Watu wa China ukiongozwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Zhai Jun. Nyuma ni Naibu Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) 

picha ya pili:
Wajumbe wa China na Tanzania kwa pamoja wakimsikiliza Mhe. Membe wakati wa mazungumzo hayo.