Sunday, 29 September 2013

HABARI ZAIDI KUHUSU AJARI YA DADAKE FREEMAN MBOWEAJARI MBAYA IMETOKEA ASUBUHI HII ENEO LA SEGERA AMBAPO GARI AINA YA GX100 LIMEPINDUKA NA KUUWA WATU WATATU AMBAO WALIKUA ABIRIA WA GARI HILO ...CARD YA GARI INASEMEKANA INA JINA LA MMILIKI AITWAE GRACE AIKAEKI MBOWE AMBAE NI DADA WA FREEMAN MBOWE ...AMBAE HIVI KARIBUNI ALIJUNGA NA CCM AKITOKEA CHADEMA

KUWA NASI HILI TUKUJUZE ZAIDI.....
- See more at: http://williammalecela.blogspot.co.uk/#sthash.okGinXSw.dpuf