Thursday, 29 August 2013

UPDATE PICHA ZA BAR YA SAMAKI SAMAKI ILIVYOTEKETEKEA NA MOTO.


Askari wa Kikosi cha Zimamoto wakiendelea kuzima moto ulioteketeza baa ya Samaki Samaki iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam leo asubuhi.