Saturday, 31 August 2013

President Jakaya Mrisho Kikwete with Mr Manuel Jose Barroso, President of the European Commission, at the start of the High-level Retreat on "New Ideas for a Fair Globalization in Alpabch, Austria August 30, 2013.
President Jakaya Mrisho Kikwete attends the High-level Retreat on "New Ideas for a Fair Globalization in Alpabch, Austria August 30, 2013. Left are members of his delegation, Professor Rwekaza Mukandala, Vice Chancellor of the University of Dar es salaam and Profesor Joseph Semboja, Principal Uongozi Institute.
 President Jakaya Mrisho Kikwete attends the High-level Retreat on "New Ideas for a Fair Globalization in Alpabch, Austria August 30, 2013. Right is the host and Co-Chairman of the Retreat, Mr Manuel Jose Barroso, President of the European Commission, followed by Ms Valerie Amos, UN Under-Secretary-General of for Humanitarian Affairs and Emergency Relief Coordinator
State House Photos
 Deputy Minister of Communication Science and Technology, January Makamba (Second Left), arrive during the meeting of stakeholders in the criminal networks held at Morogoro Region recently. Second right is President of the Institute dedicated to dealing with theft of networks, Boniface Kanemba.
Deputy Minister of Communication Science and Technology, January Makamba, speaking at the conference.
  Some workshop participants.
Group Photo.
-- Dear Participant,

On behalf of ISACA Tanzania Chapter and Norway Registers Development AS, we would like to invite you to attend the Cyber Defence East Africa 2013 conference which will be taking place on the28th-30th August in Morogoro, Tanzania.

The importance of cyber security in Tanzania is increasing due to country’s rapid development. More and more businesses and government institutions are conducting their activities online and, therefore, relying heavily on information technology. 

Smooth business activity often depends on a smooth functioning of IT infrastructure: inoperative applications, such as financial systems, e-mail or any other kind of database failure may cause many problems, lead to financial loss or even disrupt the activities of an organization. Rise in mobile money transactions, increasing importance of data and IT infrastructure's availability also heighten security concerns.

Furthermore, the scope, dynamics, and harm to organisations inflicted by cyber attacks have been intensively growing during the last years. The nature of the threats has changed significantly: before random attacks were dominant, now - targeted to certain persons or their groups, organisations. Cyber-crime is getting more industrialised, data leakage is becoming especially frequent.

As a consequence, international community is uniting and seeking for cooperation in order to stop cyber-crimes. European experience is very important for East Africa because manifestations of similar cyber threats are already present (data leakage, DDoS, resilience issues) while readiness to withstand them is still very low.

In order to assist organisations in creating a secure digital environment in Tanzania and whole East African region as well as maintaining trust of both citizens and foreign investors, ISACA Tanzania Chapter together with Norway Registers Development AS is organising intensive three-day training oncritical security controls or penetration testing for information security professionals, information systems auditors, IT risk professionals and IT enthusiasts.

This event will help to get organizations up to speed in information security and prepare them to react appropriately and minimize the damage in case of a security incident.

 Motivating educational programmes are designed with a reference to the best security practices, standards of business ethics, legal regulations and principles of business continuity. 

Introductory security courses educate on the current cyber threats, the attack cycle, defence techniques, risk management, forensic challenges and incident response planning among many other things. 

Furthermore, during the event the biggest, industry leading cyber security vendors will showcase their state-of-art technologies. In addition, participants will have networking opportunities with colleagues from Tanzania, Kenya, Uganda and Zambia during unofficial meetings and the Gala Dinner.

Participatinginthiseventwill also offeranopportunity to earn 24 CPE hours.

We believe that your participation in this conference will bring many benefits both to you and to your respective organisations. Therefore, we are really looking forward to seeing you there. 

Yours Sincerely,

CDEA’13 organising committee

 Rais Jakaya Kikwete
--
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameteuliwa kuwa miongoni mwa watu wachache mashuhuri duniani ambao watajadili Mawazo na Njia Mpya za Utandawazi wa Usawa na Haki (New Ideas for a Fair Globalisation) na jinsi Utandawazi unavyoweza kuendeshwa kwa usawa zaidi na kunufaisha nchi zote duniani.

Watu hao mashuhuri wameteuliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mheshimiwa Ban Ki-Moon na Rais wa Kamisheni ya Ulaya, Mheshimiwa Jose Barosso kujadili njia mpya ya Utandawazi wa haki na usawa zaidi katika mkutano (retreat) wa watu wachache utakaofanyika katika Kijiji cha Alpbach, Austria, kuanzia Leo.

Mkutano huo wa siku mbili ambao utakuwa chini ya Wenyeviti Wenza Waheshimiwa Ban Ki-Moon na Barosso utafanyika chini ya kivuli cha Taasisi ya European Forum Alpbach na Rais Kikwete ni kiongozi pekee wa Afrika aliyealikwa kushiriki katika mkutano huo.

Mbali na kushiriki katika majadiliano ya mada mbali mbali, Rais Kikwete amepangiwa kuzungumza katika kikao cha ufunguzi pamoja na waheshimiwa Ban Ki Moon na Barasso na pia kuzungumza katika kikao cha kufunga mkutano huo na wenyeviti wenzao hao wawili pamoja na Rais wa Muungano wa Austria, Mheshimiwa Dkt. Heinz Fischer.

Rais Kikwete aliondoka nchini usiku wa jana, Jumatano, Agosti 28, 2013, kwenda Alpbach tayari kwa mkutano huo ambao mada zake kuu zitakuwa ni Nishati Endelevu na Mabadiliko ya Tabianchi, Usalama wa Chakula na Lishe na Elimu na Vijana.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
29 Agosti, 2013
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu pamoja na Kanda Maalumu ya Dar es Saalam ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Kamishna wa Utawala, Rasilimali na Fedha wa Jeshi la Polisi, Clodwing Mtweve.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu pamoja na Kanda Maalumu ya Dar es Saalam ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Wa pili kutoka kushoto ni Kamishna wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam (CP) Suleiman Kova.Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

KUTOKA  KITENGO CHA 
MAWASILIANO YA SERIKALI 
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.

Mashine maalum ya kufulia nguo aina ya HITACHI iliyotolewa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Kayanza Pinda kwa kituo cha kulelea mayatima cha Katandala Mkoani Rukwa na kukabidhiwa kituoni hapo na Katibu wake wa Jimbo Ndugu Charles Kanyanda leo tarehe 30, Agosti 2013. Msaada huo wenye thamani ya Tshs. Milioni moja na nusu (1.5) ni ahadi ya Waziri Mkuu aliyoitoa alipotembelea kituoni hapo mapema mwaka huu.
Ndudu Charles Kanyanda Katibu wa Jimbo wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Katavi akimkabidhi Mama Mkuu Mariastella Wampembe wa Masista Maria Mtakatifu Malkia wa Afika ambao ni wamiliki wa kituo cha kulelea mayatima cha Katandala mashine maalum ya kufulia nguo iliyotolewa na Waziri Mkuu kwa kituo hicho leo tarehe 30, Agosti 2013.  
Mama Mkuu Mariastella Wampembe wa Masista Maria Mtakatifu Malkia wa Afika wamiliki wa kituo cha kulea mayatima cha Katandala Mkoani Rukwa akitoa shukrani zake za dhati kwa Waziri Mkuu kupitia kwa Katibu wake wa Jimbo Ndugu Charles Kanyanda kwa msaada huo wa mashine ya kufulia.Picha na Hamza Temba - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa
 Rais Jakaya Kikwete
 Dkt. Nyamajeje Calleb Weggoro   
--
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Nyamajeje Calleb Weggoro  kuwa Msaidizi wa Rais, Masuala ya Ushirikiano wa Kikanda.

Taarifa iliyotolewa leo, Alhamisi, 29 Agosti, 2013 mjini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue inasema kuwa uteuzi huo umeanza jana Agosti 28, mwaka huu, 2013.

Kabla ya uteuzi huu, Dkt. Nyamajeje Calleb Weggoro alikuwa Mkurugenzi wa Sekta za Uzalishaji (Productive Sectors) katika Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
 
“Mwisho”
 
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
29 Agosti, 2013

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege waTabora kwa ziara ya siku tatu  mkoani humo Agosti 29, 2013.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa (kushoto)  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege waTabora kwa ziara ya siku tatu  mkoani humo Agosti 29, 2013.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aisalimiana na viongozi wa dini wa mkoa wa Tabora baada ya kuwasili kwenye  uwanja wa ndege wa Tabora kwa ziara ya siku tatu mkoani humo Agosti 29, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Fatuma Mwasa wakati alipokagua mradi wa matofali wa vijana wa  Pathfinder Green City katika kijiji cha Tulu wilayani Sikonge Agosti 29, 2013. Alikuwa katika ziaa ya siku tatu mkoani Tabora.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Semi-Furnished Property For Rent in  Mbezi Beach
Location: Tanki Bovu, Mbezi Beach along New Bagamoyo Road.
Semi-furnished house ideal for residential/office use.

5 Bedrooms self contained with ceiling fans, 50 litre water heater and spacious wardrobes.
Dining room, Sitting room, Study room/office, Lounge, Servant quarter with own sitting and dining room. 10+ rooms in total making it ideal for office use.
Installed infrastructure in each bedroom and lounge for international (DSTV). local TV channels and Internet access.
5,000 litre capacity with an underground borehole.
Electric fence with siren
40 KVA stand-by generator
Family size swimming pool
Kitchen facilities like gas cylinders and refrigerators available
Spacious garden
RENT: 2,500$ per month
Contact: +255 714 633314 or  info@inauzwa.com