Thursday 23 May 2013


RAIS JK LEO ALIPOWAAPISHA MABALOZI IKULU.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal  na Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe wakiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wapya waliopaishwa leo ikulu jijini Dar es Salaam.aliyesimama mbele kushoto no Balozi Liberata Mulamula anayekuwa Balozi Mpya wa Tanzania nchini Marekani.Waliosimama nyuma kutoka kushoto ni Balozi mpya wa Tanzania Uholanzi Wilson Masilingi,Balozi mpya wa Tanzania katika visiwa vya Commoro Chabaka Kilumanga,Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Geneva Balozi Modest jonathan Mero na Balozi mpya wa Tanzania katika falme za Kiarabu(UAE)Mbarouk Nassor Mbarouk.Kabla ya uteuzi Balozi Liberata Mulamula alikuwa msaidi wa Rais Masuala ya kidiplomasia na aliwahi kuwa katibu mkuu wa nchi za  Maziwa.
 Makuu.(picha na Freddy Maro)  
Balozi Kilumanga-Commoro Akiapa 
 Balozi Masilingi-Uholanzi akiapa 
Balozi Masilingi-Uholanzi akiapa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (UAE) akiapa 
Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (UAE) akiapa Balozi Mero-Geneva akiapa 
Balozi Mero-Geneva akiapaJaji Aloycius Mujuluzi akiapa 
Jaji Aloycius Mujuluzi akiapa