Wednesday 13 August 2008

sweden


Mtanzania afa maji - Stockholm Södertälje

Prosper Emmanuel Seka miaka 26 amefariki tarehe 30-7-2008 kwa ajali ya kuzama majiniHarambee - Jumamosi tarehe 9-08-2008wapi: Skappnäck alle 31-34, Skappnäck kyrka mita 100 kutoka tunnellbana.Saa: 12.00 - 22.00vinywaji vyepesi na chakula vitauzwa kwa bei nafuu.Safari bado ni ndefu - "tumpeleke ndugu yetu akapumzike" tafadhari ukipata ujumbe huu MFAHAMISHE NA MWENZAKOKwa wale wasioweza kufika/wanaotaka kuchangia, tunaweza kuuweka mchango wetu kwenye acc 8327-9 146771548 Swedbank, Stockholm, Sweden - jina la mpokeaji andika Overa.ASANTENIOn saturday 2008-08-09 there will be HARAMBEE for our late brother, PROSPER EMMANUEL SEKA at Skappnäck alle 31-34. Food and soft drinks will be available for a reasonable price. For more details contact Beatrice tel 0739259234Overa 073 8394186Please pass/send this message to others.For those who can not attend/would like to help please use acc no 8327-9 14677154 Bank name Swedbank, Stockholm, Sweden Transaction -receivers name write Overa.THANKSWafiwa: Mchungaji Overa Sahlberg na fam.yake. Anwani: Ottesångsvägen 7, Södertälje. Simu: 08 550 893 55 / 073 839 418 6 . Mipango ya kuusafirisha mwili wa marehemu kutoka Sweden - Tanzania inaendelea.





Historia yake kwa kifupi.Alain Kahanga Dekula "Vumbi" alizaliwa mji wa kivu katika jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo ambapo alisoma elimu ya msingi na Secondary, baada ya kumaliza Elimu yake ya Secondary katika mji wa Kivu (Uvira)alianza kujishughulisha na mambo ya muziki.Alianza kupiga solo gitaa na bendi kama Bavy National, Grand mike jazz of Rashid king akishirikiana na wanamuziki kama Dr Remmy Ongala, baada ya hapo alihamia Dar es salaam ambako alifanya kazi na Maquis Original wana sendema moja ya bendi bora na maarufu Afrika mashariki na kati angalia "Worlds Music Rough Guide."Maquis Original katika nyimbo zake
Maquis Original katika nyimbo zake kama vile ngalula na makumbele zilimshirikisha mpiga solo gitaa mwenye uwezo wa hali ya juu katika fani hiyo "Vumbi kahanga" kama anavyojulikana na wapenzi wengi wa muziki wa dansi kutokana na kulitumia kwa ufundi wake mkubwa gitaa la solo.kwasasa anashirikiana pia mwanamuziki mashuhuri Pablo machine
unaweza kupata program yao kupitiahttp://www.pablomachine.podomatic.com/ http://www.sokoafrica.net/pia unaweza kuagizia cd yao mpya inayoitwa Sultan Qaboos



“Expanding Market
Opportunities for
Rwanda”
August 22nd -24th
London Irish Centre,
50-52 Camden Square,
London NW1 9XB
United Kingdom
www.investinrwanda.co.uk
www.rwandainve

Whereas the fi rst ‘Rwanda Expo in Europe 2007’ was
aimed at ‘Unveiling a New Rwanda to the World’, as
its theme suggested, the purpose of Rwanda Business
Expo 2008 is to expose more Rwandan products and
services to UK consumers, to continue to gauge the
interest and demand for the same, and also to attract
UK investors to Rwanda.
Rwandans in Diaspora as well as UK enterprise
will continue to be engaged and informed of current
opportunities in Rwanda and encouraged to partake
in her economic development.
It is expected that more business partnerships shall
be built during this Expo; more Rwandan products
will be launched on to the UK market and more UK
consumers will be aware of their availability; hence
‘Expanding Market Opportunities for Rwanda’
Further more, it is also expected that more consumers
in the UK will become aware of Rwanda’s current
stability and tourist attractions and be encouraged
to visit the co