Monday 19 January 2015


  MBUNGE Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akiweka mchanga kwenye kaburi la Salehe Mpwimbwi aliyezikwa katika makaburi yaliyopo nje kidogo ya kijiji cha Miono, mazishi yaliyofanyika juzi baada ya Mpwimbwi kupata ajali akiwa kwenye gari yake binafsi akitokea kijiji cha jirani kumpeleka mgonjwa ambapo njiani gari lake lilipasuka taili na kupinduka.
KAKA wa Rais Jakaya Kikwete Selemani Kikwete akiweka mchanga katika Kikwete akiweka mchanga kwenye kaburi la Salehe Mpwimbwi aliyezikwa katika makaburi yaliyopo nje kidogo ya kijiji cha Miono, mazishi yaliyofanyika juzi baada ya Mpwimbwi kupata ajali akiwa kwenye gari yake binafsi akitokea kijiji cha jirani kumpeleka mgonjwa ambapo njiani gari lake lilipasuka taili na kupinduka.PICHA NA OMARY SAID