Wednesday, 21 January 2015

ASSALAM ALAIKUM WARAHAMATULLAH  WAIBARAKATUH
Uongozi wa Madrsatul  Aqsaa Coventry unatangaza  kifo cha  ndugu yetu  Yahya Abdalla.
Nakama  mila  na  desturi  yetu kupeana  pole  ndio utamaduni  wetu hasa  katika  kipindi  hiki  kigumu 
Yoyote  anaetaka  kutoa  mkono  wa  pole,anwani  ni:
 56 ROSEBERRY AVENUE,COVENTRY CV2 1ND,UINGEREZA
Kwa  maelezo Zaidi  wasiliana  na:07767241499
Shukrani