Monday, 19 January 2015

 Mtoto wa Mwasisi wa Mapinduzi Zanzibar, Abeid Amani Karume, Ally Karume akihutubia katika mkutano huo.
  Kinana akiwa amevalia kofia na tai za mapakacha baada ya kutembelea shamba la viungo mbalimbali vya vyakula la Spice eneo la Mfenesini.
 Kinana akiongoza kupanda miti katika  shamba la  viungo vya vyakula la Spice Solution,Jimbo la Mfenesini, Zanzibar leo, wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Zanzibar.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akiangalia Vanilla alipotembelea shamba la Spice Solution katika Jimbo la Mfenesini, wakati  wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inaotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM 
 Kinana akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa  Ushirika wa Shamba la viungo vya vyakula la Spice Solution Farm eneo la Mwakaje, Othman Abdul Mohamed alipotembelea shamba hilo wakati wa ziara yake katika  Jimbo la Mfenesini, Zanziba