Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika
viwanja vya jumba la Rideau Hall jijini Ottawa, Canada, katika hatua
yake ya kwanza ya kuanza ziara rasmi ya siku mbili jijini humo
Jumatano Oktoba 4, 2012. Jumba hilo ndilo makazi na ofisi rasmi ya
Gavana Jenerali wa Canada tangia mwaka 1867 ambapo pamoja na kuishi humo
pia hapo ndipo hutumika kwa kuwatunukia wananchi wa Canada waliofanya
vyema, pa kupokelea wageni mashuhuri wa nchi za nje na pia ndipo
anapofanyia shughuli zote za kitaifa akiwa kama mwakilishi wa Malkia wa
Uingereza.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi
katika viwanja vya jumba la Rideau Hall jijini Ottawa, Canada, katika
hatua yake ya kwanza ya ziara rasmi ya siku mbili jijini humo Jumatano
Oktoba 4, 2012. Jumba hilo ndilo makazi na ofisi rasmi ya Gavana
Jenerali wa Canada tangia mwaka 1867 ambapo pamoja na kuishi humo pia
hapo ndipo hutumika kwa kuwatunukia wananchi wa Canada waliofanya vyema,
pa kupokelea wageni mashuhuri wa nchi za nje na pia ndipo anapofanyia
shughuli zote za kitaifa akiwa kama mwakilishi wa Malkia wa Uingereza.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa viongozi wa
serikali ya Canada na Gavana Jenerali wa nchi hiyo Mhe. David Johnson
alipowasili katika viwanja vya jumba la Rideau jijini Ottawa, Canada,
katika hatua yake ya kwanza ya ziara rasmi ya siku mbili nchini humo
Jumatano Oktoba 4, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulisha ujumbe wake kwa
Gavana Jenerali wa Canada Mhe. David Johnson na mkewe Mama Sharon
Johnson katika viwanja vya jumba la Rideau Hall jijini Ottawa, Canada,
katika hatua yake ya kwanza ya ziara rasmi ya siku mbili jijini humo
Jumatano Oktoba 4, 2012.Jumba hilo ndilo makazi na ofisi rasmi ya
Gavana Jenerali wa Canada tangia mwaka 1867 ambapo pamoja na kuishi humo
pia hapo ndipo hutumika kwa kuwatunukia wananchi wa Canada waliofanya
vyema, pa kupokelea wageni mashuhuri wa nchi za nje na pia ndipo
anapofanyia shughuli zote za kitaifa akiwa kama mwakilishi wa Malkia wa
Uingereza.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na watanzania
walijitokeza kumpokea akiongozana na Gavana Jenerali wa Canada Mhe.
David Johnson na mkewe Mama Sharon Johnson katika viwanja vya jumba la
Rideau jijini Ottawa, Canada, katika hatua yake ya kwanza ya ziara
rasmi ya siku mbili jijini humo Jumatano Oktoba 4, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba fupi baada ya
kuwasili katika viwanja vya jumba la Rideau jijini Ottawa, Canada,
katika hatua yake ya kwanza ya ziara rasmi ya siku mbili jijini humo
Jumatano Oktoba 4, 2012. Jumba hilo ndilo makazi na ofisi rasmi ya
Gavana Jenerali wa Canada tangia mwaka 1867 ambapo pamoja na kuishi humo
pia hapo ndipo hutumika kwa kuwatunukia wananchi wa Canada waliofanya
vyema, pa kupokelea wageni mashuhuri wa nchi za nje na pia ndipo
anapofanyia shughuli zote za kitaifa akiwa kama mwakilishi wa Malkia wa
Uingereza.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni huku
akiangaliwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada Mhe. John Baird baada
ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Macdonald Cartier
jijini Ottawa, Canada, kwa ziara rasmi ya siku mbili jijini humo
Jumatano Oktoba 4, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa Waziri wa Mambo
ya Nje wa Canada Mhe. John Baird baada ya kuwasili katika Uwanja wa
Ndege wa kimataifa wa Macdonald Cartier jijini Ottawa, Canada, kwa ziara
rasmi ya siku mbili jijini humo Jumatano Oktoba 4, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Gavana
Jenerali wa Canada Mhe. David Johnson na mkewe Mama Sharon Johnson
kuingia jumba la Rideau jijini Ottawa, Canada, katika hatua yake ya
kwanza ya ziara rasmi ya siku mbili jijini humo Jumatano Oktoba 4, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake katika
mazungumzo na Gavana Jenerali wa Canada Mhe. David Johnson na mkewe
Mama Sharon Johnson na viongozi wa serikali ya nchi hiyo katika jumba
la Rideau jijini Ottawa, Canada, katika hatua yake ya kwanza ya ziara
rasmi ya siku mbili jijini humo Jumatano Oktoba 4, 2012.Picha na IKULU