Monday, 15 October 2012

HATIMAYE SERIKALI YATINGA MBAGALA ENEO LA VITA YA JANA


Mkuu wa wilaya ya temeke akiwa kanaisa lililoharibiwa kwenye vurugu za waislamu jana

FFU
Akijibu hoja za waamini.wameomba wapewe ulinzi na serikali iwajibike kujenga kanisa kwani polisi walizembea kuzuia waislamu waliokuwa wakifanya vurugu kwa awamu tatu bila polisi kudhibiti hali hiyo
Kamanda wa mkoa wa Temeke