Monday, 1 September 2008

ramadhani leoRamadhani leo

SALAT TARAWEEH

Waislamu wote mnatangaziwa kuwa salat Taraweeh itasaliwa katika chuo cha Monor Park, nyuma ya duka la Sadi na Monor Park Station, salat Taraweeh itaanza baada ya Isha 2130 kila siku, Waislamu Wote Mnakaribishwa.
Maelezo zaidi wasiliana na Maalim Abdallah 07828804152 Ally Muhdin 0770786069 E- Mail i
nfo@tanzaniaone.net

RAMADHANTanzania president with George Bush yesterday at White House