Monday, 22 September 2008

Haya wadau wa Uingereza Bongoland II inakuja mwezi ujao wa Oktobatarehe 30 saa mbili .

Pata habari kamili hapa . Bongoland IIimechaguliwa katika sinema za Kiafrika ambazo zitaonyeshwa Uingerezatangu October 23 Mpaka November 2, 2008 -http://www.africa- in-motion. org.uk/ Kama uko Edinburgh au mitaa ya karibu unaombwa ujitahidi kuwakilishaTanzania na ujionee mwenyewe jinsi wasanii wa ki-Tanzaniawalivyotuwakilisha katika ngazi za kimataifa. Kuhudhuria kwakokutaonyesha waandalizi wa festival hii kuwa wadau na marafiki zao wanania ya kutaka sinema za kwao zionyeshwe katika festival kama hizi.Kama hutaweza kuudhuria siku hiyo, unaombwa kupitisha ujumbe huu kwamarafiki wote walio karibu na mji wa Edinburgh.Kwa sasa sinema hii inapatikana katika DVD. Unaweza ukaagiza mtandaonikwa kubofya hapa. Kumbuka kuwa wengi wetu kwa mara nyingi tuna-rentsinema kutoka Hollywood videos au Blockbusters. Tukumbuke kuwaku-renti kwetu kunachangia katika kuendelea kutengeneza sinema nyingiza K imarekani. Ni kwa sababu hiyo hiyo na sisi tujitahidi kuwaungamkono wasanii wa Kibongo ili fani hii iendelee kukua ili utamaduniwetu nao uwakilishwe katika ngazi zaidi nje20ya Bongo.Kwa habri zaidi kuhusu sinema hii au sinema nyingine kutoka K ibiraFilms tafadhali bofya hapa.-- Regards,-----Temu, A.B.S.Edinburgh(+44 7766176244)