
SALAT TARAWEEH
Waislamu wote mnatangaziwa kuwa salat Taraweeh itasaliwa katika chuo cha Monor Park, nyuma ya duka la Sadi na Monor Park Station, salat Taraweeh itaanza baada ya Isha 2130 kila siku, Waislamu Wote Mnakaribishwa.
Maelezo zaidi wasiliana na Maalim Abdallah 07828804152 Ally Muhdin 0770786069 E- Mail info@tanzaniaone.net
THE NIGERIA DIPLOMATS' WIVES ASSOCIATION-FUNDRAISING DINNER FOR DESTITUTE CHILDREN IN NIGERIA
Helping our people back home is simply the right thing to do and also the most rewarding. And this event is a great example of what we can achieve