Saturday, 5 September 2015

Tafadhali ndugu zangu, tunawaomba mtupeperushie habari hizi kutoka katika Mkutano wa Watanzania waishio nchini Uingereza kwenye Mkutano wao wa Tanzania Diaspora Business Convention 2015 Mheshimiwa Katibu Mkuu, Balozi Liberata Mulamula (kati), Mheshimiwa Balozi wa Tanzania, Uingereza, Peter Kallaghe (pili kushoto), Mheshimiwa Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi Zanzibar, Bwana Salum Maulid (kushoto), Mwenyekiti wa Watanzania waishio Birmingham, Prince Katega (pili kulia), dada Gradys Katega (MC) wakiwa pamoja na Kamati ya Mkutano wa Tanzania Diaspora Business Convention 2015 Mheshimiwa Katibu Mkuu, Balozi Liberata Mulamula (kati), Mheshimiwa Salum Maulid ,Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi Zanzibar (kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania, Uingereza, Mhe. Peter Kallaghe na mama Joyce Kallaghe, kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Watanzania, unaoendelea hivi sasa Birmingham, Uingereza Mheshimiwa Katibu Mkuu, Balozi Liberata Mulamula akimpongeza Bwana Ayoub Mzee mara baada ya kufungua rasmi huduma ya Television (Mobile application - Apps). Bwana Ayoub ni mwakilishi wa AITV Application hapa nchini Uingereza. Baadhi ya Watanzania walihudhuria Mkutano wa Watanzania waishio Uingereza, Mkutano wa Tanzania Diaspora Business Convention 2015 Baadhi ya Watanzania walihudhuria Mkutano wa Watanzania waishio Uingereza, Mkutano wa Tanzania Diaspora Business Convention 2015 ambao unaofanyika katika mji wa Birmingham. Baadhi ya Wawakilishi kutoka Makampuni mbalimbali, Watanzania walihudhuria Mkutano wa Diaspora Business Convention 2015 katika Ukumbi wa Bingley Hall, katika jiji la Birmingham nchini Uingereza Wanakwaya wa Kitanzania, wakiimba Wimbo wa kuisifu Tanzania katika ufunguzi wa Mkutano huo wa Tanzania Diaspora Business Convention 2015, mkutano ambao unaendelea sasa katika Ukumbi wa Bingley Hall Washiriki wa Mkutano wa Tanzania Diaspora Business Convention 2015 katika Mkutano wa Watanzania waishio Uingereza Washiriki wa Mkutano wa Tanzania Diaspora Business Convention 2015 katika Mkutano wa Watanzania waishio Uingereza Bwana Ezekiel, Moderator wa Mkutano, akiongea machache kuwakaribisha Wageni waalikwa na Watanzania walihudhuria Mkutano wa Watanzania waishio nchini Uingereza Bwana Alton Ernest Chaula, Mwakilishi kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Tanzania, akichangia taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani, akielezea Haki za Watanzania na juhudi za Serikali ya Tanzania inavyojishughulisha kuwasaidia Watanzania kutambua Haki zao kama Watanzania waishio nje ya Tanzania katika Mkutano wa Tanzania Diaspora Business Convention 2015 Mwakilishi wa Zanzibar Investiment Centre (ZIPA) akielezea machache kwa Watanzania waishio nchini Uingereza jinsi gani wanavyoweza kufaidika kuwekeza nyumbani Tanzania kama Watanzania wengine. Baadhi ya Watanzania walihudhuria Mkutano wa Diaspora Business Convention 2015 katika Ukumbi wa Bingley Hall, katika jiji la Birmingham nchini Uingereza Baadhi ya Watanzania walihudhuria Mkutano wa Diaspora Business Convention 2015 katika Ukumbi wa Bingley Hall, katika jiji la Birmingham nchini Uingereza Baadhi ya Watanzania walihudhuria Mkutano wa Diaspora Business Convention 2015 katika Ukumbi wa Bingley Hall, katika jiji la Birmingham nchini Uingereza Mama Joyce Kallaghe, akiwa na baadhi ya Wageni Waalikwa katika Mkutano wa Tanzania Diaspora Business Convention 2015. Baadhi ya Watanzania walihudhuria Mkutano wa Diaspora Business Convention 2015 katika Ukumbi wa Bingley Hall, katika jiji la Birmingham nchini Uingereza