Wednesday, 9 September 2015

Habari za mchana wadau msaada naomba muirushe 


 Kampuni ya ConnectMoja Technologies  Wamezindua tovuti mpya iitwayo Mavazi Store (http://www.mavazi.co.tz/">www.mavazi.co.tz
)  ambayo inajumuisha Mkusanyiko wa maduka
mbalimbali ya mavazi ya aina zote mtandaoni.
 


http://2.bp.blogspot.com/-wZOWZRHgxrc/Ve1PlJZacoI/AAAAAAAAWgM/crO9wlH0Ng4/s1600/MAVAZI%2BSTORE.jpg" imageanchor="1" style="margin-left: 1em; margin-right: 1em;">http://2.bp.blogspot.com/-wZOWZRHgxrc/Ve1PlJZacoI/AAAAAAAAWgM/crO9wlH0Ng4/s640/MAVAZI%2BSTORE.jpg
" width="640" />


Kwa Mujibu wa Meneja Chapa ambaye pia ni Ambasador
wa Mavazi Store bwana  Steve
Seducter   mfumo huu wa kisasa
umelenga  Kuondoa kero ya kutafuta bidhaa
mbalimbali zinazohusiana na Urembo pamoja na Mavazi, pia kuwaokolea muda wateja
 kwa kuunganisha  maduka Mengi zaidi kupitia tovuti hii ya http://www.mavazi.co.tz/">www.mavazi.co.tz
  .  Mtu
yeyote mwenye simu ya kiganjani au kupitia katika kompyuta yake ataweza
kutembelea Tovuti hii na kuona biashara zilizosajiliwa pamoja na Bidhaaa
wanazouza. Hii itamuwezesha kuchagua  na
kuwasiliana na duka husika Moja kwa moja alipo (Delivery),

http://2.bp.blogspot.com/-58Xq5VJ8ylk/Ve1Q4Kbp8xI/AAAAAAAAWgY/beq4gpBpz-8/s1600/MAVAZI.jpg" imageanchor="1" style="margin-left: 1em; margin-right: 1em;">http://2.bp.blogspot.com/-58Xq5VJ8ylk/Ve1Q4Kbp8xI/AAAAAAAAWgY/beq4gpBpz-8/s640/MAVAZI.jpg
" width="640" />


Muonekano wa Tovuti ya MavaziStore  (http://www.mavazi.co.tz/">www.mavazi.co.tz
)
Pamoja na mengine Mtafiti wa Masoko na
ukuaji wa biashara Bwana Fred Crich 
alifafanua kwamba  kwa Sasa
ConnectMoja Technologies imejikita kusaidia ukuaji wa biashara mbalimbali za
kitanzania, na kuhakikisha kwamba Maendeleo yanayotokea katika Dunia hasa
kupitia teknolojia yanaipa Manufaa pia jamii yetu ya Kitanzania. Crich
Ameongeza kwamba  Kwa Kampuni inatoa Ofa
kwa wamiliki wa maduka kutangaza katika Tovuti hii Bure kwa Mwezi Mmoja  ili kuwafikia zaidi wateja walio wengi. Ili Kutangaza
  au Wasiliana nasi kwa Simu   0777880007  au 0714215 600  : 
Office:  Oysterbay – Dar free
Market Mall (GL14)

Imetolewa na  Kitengo Cha Masoko – ConnectMoja Technologies
Limited
   | info@connectmoja.co.tz">info@connectmoja.co.tz

KAWAIDA


 Kampuni ya ConnectMoja Technologies  Wamezindua tovuti mpya iitwayo Mavazi Store (www.mavazi.co.tz)  ambayo inajumuisha Mkusanyiko wa maduka mbalimbali ya mavazi ya aina zote mtandaoni. 
Kwa Mujibu wa Meneja Chapa ambaye pia ni Ambasador wa Mavazi Store bwana  Steve Seducter   mfumo huu wa kisasa umelenga  Kuondoa kero ya kutafuta bidhaa mbalimbali zinazohusiana na Urembo pamoja na Mavazi, pia kuwaokolea muda wateja  kwa kuunganisha  maduka Mengi zaidi kupitia tovuti hii ya www.mavazi.co.tz  .  Mtu yeyote mwenye simu ya kiganjani au kupitia katika kompyuta yake ataweza kutembelea Tovuti hii na kuona biashara zilizosajiliwa pamoja na Bidhaaa wanazouza. Hii itamuwezesha kuchagua  na kuwasiliana na duka husika Moja kwa moja alipo (Delivery),Muonekano wa Tovuti ya MavaziStore  (www.mavazi.co.tz)
Pamoja na mengine Mtafiti wa Masoko na ukuaji wa biashara Bwana Fred Crich  alifafanua kwamba  kwa Sasa ConnectMoja Technologies imejikita kusaidia ukuaji wa biashara mbalimbali za kitanzania, na kuhakikisha kwamba Maendeleo yanayotokea katika Dunia hasa kupitia teknolojia yanaipa Manufaa pia jamii yetu ya Kitanzania. Crich Ameongeza kwamba  Kwa Kampuni inatoa Ofa kwa wamiliki wa maduka kutangaza katika Tovuti hii Bure kwa Mwezi Mmoja  ili kuwafikia zaidi wateja walio wengi. Ili Kutangaza Nasi Tembelea  http://mavazi.co.tz/advertise/  au Wasiliana nasi kwa Simu   0777880007  au 0714215 600  :  Office:  Oysterbay – Dar free Market Mall (GL14)

Imetolewa na  Kitengo Cha Masoko – ConnectMoja Technologies Limited