Thursday, 4 July 2013

SABASABA EXHIBITION IN TANZANIA

RAIS WA NCHI JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAM

Rais Jakaya Kikwete (aliyenyoosha mkono) akitembelea  Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa  yanayoendelea katika viwanja  vya  Mwalimu  J. K Nyerere  jijini  Dares Salaam.kushoto kwake ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dk. Abdallah Kigoda. 
Rais   Jakaya   Kikwete  akipata maelezo kutoka kwa n Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo  na Makazi(UNHABITANT) Phillemon  Mutashubirwa  kuhusu wanavyofanya kazi ya kusaidia watoto wa shule  na  wanawake kwenye Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa  yanayoendelea katika viwanja  vya Mwalimu  J. K Nyerere  jijini  Dares Salaam
Rais Jakaya  Kikwete (kulia)  akiangalia  mafuta ya ubuyu  na bidhaa zingine kwenye banda la  Mfuko wa Fursa Sawa Kwa wote(EOTF) kwenye Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa  yanayoendelea katika viwanja  vya  Mwalimu  J. K Nyerere  jijini  Dares Salaam .Kutoka (kushoto)  wa pili ni Mwenyekiti wa EOTF Mama Anna Mkapa  (kushoto) ni Mkurugenzi  Mtendaji wa Stephen Emmanuel.