Saturday, 17 October 2015

Huu ni uchambuzi wa Habari za Magazeti toka vituo mblimbali vya Televisheni October 15, 2015 CH 10 Rais Kikwete asema chagueni kiongozi anayekemea rushwa, asisitiza watu kurudi majumbani baada ya kupiga kura; https://youtu.be/-9yZ23YwPO4 TBC Hatutawavumilia watakaofanya vurugu wakati wa uchaguzi mkuu, Mwili wa waziri Kigoda kuagwa leo. Ndivyo yasemavyo magazeti ya leo; https://youtu.be/CGjIrO7T8q0 Azam TV Yanga yaipania Azam fc, Mwingereza,Mholanzi vitani . Pata kujua kile wahariri wa michezo walichokipa kipaumbele siku ya leo; https://youtu.be/31MOwWiwhnI MLIMANI TV Sh.Bilioni 7.8 zatumika ‘kununua’ ikulu. Waratibu walipwa mil.4 kwa mwezi tangu 2013, Mfanyabiashara maarufu nchini adaiwa kuratibu dili, https://youtu.be/yeESunsrHNs