Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Mhe. Andrew Chenge (kushoto) akiwasili bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, leo 24 Septemba, 2014. Kulia ni mjumbe wa Bunge hilo, Dkt. Tulia Ackson.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalu la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akiwasilisha Rasimu iliyopendekezwa ndani ya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Tanzania ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Mizengo Pinda (kushoto) akijadiana jambo na mjumbe mwingine wa bunge hilo, Mhe. Hawa Ghasia leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (kushoto) akifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa Rasimu iliyopendekezwa. Kulia ni mjumbe mwenzie wa bunge hilo.
Wajumbe wa Bunge Maalu la Katiba, Mhe. Profesa Mark Mwandosya (kushoto) na Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro wakijadili jambo wakati wa uwasilishwaji wa Rasimu iliyopendekezwa bungeni hap oleo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ally Kessy (kushoto) pamoja Mhe. Anna Kilango wakifurahia jambo wakati wa uwasilishwaji wa Rasimu iliyopendekezwa ndani ya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ridhiwan Kikwete (kushoto) pamoja Mhe. Angellah Kairuki wakijadili jambo wakati wa Uwasilishwaji wa Rasimu iliyopendekezwa ndani ya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (kushoto) akiteta jambo na mjumbe mwenzio wa bunge hilo Mhe. Sophia Simba leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Anne Makinda (kushoto) akiteta jambo na Spika wa Baraza la Wawakilishi na Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni na Haki za Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Pandu Ameir Kificho leo 24 Septemba mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalu la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akiwasilisha Rasimu iliyopendekezwa ndani ya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.