TANZANIA ROAD SAFETY AMBASSADORS-RSA
(MABALOZI WA USALAMA BARABARANI)TAMKO LA RSA KUHUSU AJALI NA HALI YA USALAMA BARABARANI
Mwenyekiti –Baraza la Taifa la Usalama Barabarani; Watanzania wote kwa ujumla;Napenda kuchukua nafasi hii kwa niaba ya mabalozi wa usalama barabaranikuun!ana nawe na watanzania wote kutoa pole kwa wa"wa na majeruhi wa ajaliya basi la Majinja #$press iliyotokea huko Ma"n!a mkoani %rin!a tarehe&&'()'*(&+ na kuwapoteza watu ,( na kuacha wen!ine wen!i majeruhi' -jali hiini ya kustua na kusikitisha sana' .oleni majeruhi na Mwenyezi Mun!u awajaliemajeruhi uponyaji wa haraka na marehemu awapokee kwenye nuru ya uso wake'/oad 0afety -mbasadors1/0-2 ni mtandao wa wananchi waliohamasika katikakusaidiana na kikosi cha usalama barabarani kutii sheria bila shuruti kuelimishaumma kuhusu usalama barabarani na kuripoti matukio mbalimbali barabaraniikiwa ni pamoja na ku"chua mwenendo mbaya wa madere3a na askaribarabarani' Tufanya kazi zetu kupitia mtandao wa kijamii wa whatsapptele!ram1/0-45ulikoni Barabarani2and facebook4Nenda kwa Usalama Barabarani' .iatunatoa elimu kwa umma kupitia redio na tele3isheni' Ni mtandao wa hiyariwenye len!o la kupun!uza ajali za barabarani na madhara yake kwa jamii'5wa miaka min!i sasa ajali za barabarani zimeendelea kukatisha maisha yawatanzania walio wen!i na kuwaachia wen!i uyatima na ulema3u' Takwimuzinaonesha kuon!ezeka kwa ajali tan!u ajali 6+&( 1&7882 hadi ku"kia*(6&91*((9; *)9+*1*(&)2' Ni mwaka *(&+ tu ndipo ajali zilipun!ua ku"kia &+)6(zilizosababisha 3ifo )8,( ukilin!anisha na 3ifo *7(,1*((92 na 3ifo 9891*((82' Tunapon!eza hatua zilizofanyika kupun!uza ajali mwaka *(&+ japokuwa idai ya3ifo ilikuwa bado iko juu ukilin!anisha na *((9' :atua mbalimbali zimetan!azwakuchukuliwa na serikali lakini ufanisi wa hatua hizo bado umekuwa wenyemashaka' Mara nyin!i kila ajali inapotokea jibu la haraka limekuwa mwendo kasiwa dere3a na tukishatoa salamu za rambi rambi tu tunasahau kabisa bila hatakujua hatima ya waathirika wa ajali hizo' :atukatai ni kweli makosa yakibinadamu inasemekana yanachan!ia sana hizi ajali' :ata hi3yo ipo haja yakwenda mbali zaidi ya majibu mepesi kuwa ni mwendo kasi tu' Twende mbelezaidi tufuatilie na kuweka utaratibu mzuri kuhusu haki za waathirika baada yaajali' Wen!i wamekuwa hawapati haki zao kabisa au hupata kwa kuchelewa jambo linalopelekea kuwapa machun!u zaidi majeruhi na hata yatima na wajanewanaobaki baada ya ndu!u zao kufariki' %"ke hatua tuache kutoa majibu mepesikwa maswali ma!umu na kuchukua hatuia stahiki ili kukabiliana na hali hii'
0isi kama mtandao wa mabalozi wa usalama barabarani1/0-2 tunaitaka serikalina wadau wanaohusika kuchukua hatua za makusudi kukabiliana na hali hii hasazinapotokea ajali kubwa' 1Major accidents2&'5uundwa kwa taasisi huru na ya kitaalamu 1National /oad -ccidents%n3esti!ation Board2kuchun!uza kwa kina ajali husika ili kubaini chanzohalisi cha ajali hiyo na 3itu 3ili3yochan!ia' 5atika kuan!alia Ninikilitokea; Namna !ani kilitokea; 5wa nini kilitokea; Nini kifanyike kuzuiakujirudia; na 5ipi kifanyike kupun!uza athari ya ajali bodi ian!alieyafuatayo1a2%wapo T-N/<-=0 wana pro!ram ya uka!uzi wa mara kwa mara wabarabara na kuzifanyia marekebisho1b2%wapo mabasi yanayohusika kwenye ajali yanakuwa na bima sahihina inayotosha ku"dia wahan!a wa ajali hizo1c2%wapo kila mamlka ilitekeleza wajibu wake kabla na baada yakutokea kwa ajali1d2Uwepo wa bajeti ya kutosha kufanya maten!enezo ya barabara nakama ipo kwa nini ukarabati haukufanyika kwa wakati1e2%wapo wamiliki wa mabasi wana sera na taratibu zozote zakukabiliana na ajali na nidhamu za watumishi wao1f2Mafunzo ya dere3a husika aliyepata ajali historia ya maisha yakena siku kabla ya ajali au wakati wa ajali hali ya akili yake ilikuwaje'1!2Nafasi ya hali ya kijio!ra"a katika ajali husika mathalani uonimuundo wa kijio!ra"a wa eneo hilo hali ya hewa nk1h2Mwendo wa !ari husika na hali ya !ari hadi wakati wa ajali1roadowrthiness21i2-biria kwa kiasi !ani walichan!ia mwendo mbaya kwa kutoripoti na je iwapo waliripoti ni hatua !ani zilichukuliwa dhidi ya dere3a auabiria husika'*'5uwawajibisha wote watakaobainika kwa namna moja ama nyin!inekuchan!ia kusababisha ajali' :ii ihusishe uwajibikaji wa mamlakambalimbali kama 3ile .olisi Usalama Barabarani 0UM-T/- T-N/<- span="">na Wamiliki wa Ma!ari husika')'Bima za ma!ari ya abiria na ya mizi!o zichun!uzwe ili kuona kamazinakidhi 3ihatarishi1risks2 3ina3yoweza kusababishwa na ma!ari hayouhai na uhalali wa bima hizo na ukubwa "dia zinazotolewa na bima hizo1co3era!e2+'0hule za udere3a na sheria zake zian!aliwe upya ili kuona kama shulehizo zinakidhi mafunzo ya udere3a kulin!ana na teknolojia ya sasa yamaendeleo ya ma!ari na hasa mitaala inayotumika','Mfumo wa upatikanaji leseni uan!aliwe kwa kina kuona kama haunamianya ya kuwafanya watu wapate leseni bila kupitia mafunzo aukufuzu 3izuri na ikiwezekana mamlaka inayojite!emea ya utoaji lesenina uka!uzi wa ma!ari ianzishwe kama ili3yoanishwa kwenye sera yausalama barabarani *((7'6'5utun!wa kwa sheria ya Mauaji ya bila kukusudia yanayosababishwa nataasisi 1>orporate manslau!hter -ct2 kama ili3yo kule U5 ilikuziwajibisha taasisi zisizojali usalama wa watu'8'5utekeleza kwa 3itendo malen!o ya sera ya usalama barabarani *((7na kuweka adhabu kali kwa wanaokiuka sheria za usalama barabarani->