Wednesday 10 December 2014

Mratibu wa Mradi wa Ukimwi ILO, Getrude Sima (kushoto) akitoa maelezo ya kikundi cha kina mama ambao ni walengwa wa mradi wa Ukimwi unaofadhiliwa na SIDA chini ya shirika la kazi duniani (ILO), kwa Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez, katika ziara ya kikazi ya kutembelea miradi inayosaidiwa na mashirika ya Umoja wa Mataifa  mkoani Iringa na Njombe. Kulia ni Practice Specialist HIV/AIDS, Dr Bwijo Bwijo.

Mulala
The Mulala village is a typical rural setting on the southern slopes of Mt. Meru and surrounded by spectacular scenery. It lies 1,600 - 1,700m above see level and wind your way up the mountain through amazing lush, green vegetation dotted with small farms. The women of Mulalal have united in the form of the Agape Women’s Group.
http://tanzaniaculturaltourism.go.tz/mulala.htm