
Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein akimuapisha Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

Wajumbe wa kikao hicho, Ridhiwani Kikwete na Mama Salma Kikwete wakijadili jambo wakati wa kikao cha Hamlmashauri Kuu (NEC ) ya CCM mjini Dodoma