Tuesday, 7 October 2014


The  Chairperson  of  Newdeal  Africa   enzy  larusai   with  the  Lord mayor  of  coventry   and  her  consort-

NEWDEAL AFRICA IS  a support service  social  entereprise that empowers families and individuals to maximize their abilities to succeed. We  are based  in  Coventry
Vision and Values
·         we take pride in the noteworthy contributions of diverse communities and are committed to the concept of partnership, integrity and equality for all.

·         We serve as a bridge for our comunity; helping to advocate for their needs and supporting them on their personal journey to empowerment.   


·         make it our mission to maintain the highest standards in the service of of human rights, gender equality,  and opportunity for low-income and immigrant families .



KENYAN President Uhuru Kenyatta has said he will go to the International Criminal Court, where he faces charges of crimes against humanity
FULL SPEECH joint session of Kenyan Parliament here...
http://www.newvision.co.ug/news/660455-i-will-go-to-icc-uhuru.html
KENYAN President Uhuru Kenyatta has said he will go to the International Criminal Court, where he faces charges of crimes against humanity




HUYU NDO MSANII KUTOKA KENYA ALIYEKAMATWA AKIZANIWA KUA NI GAIDI





BzHFpTeCIAA9d8r
Kama tunavyojua nchi ya Kenya siku za karibuni imekua ikiandamwa na matukio mbalimbali yanahusishwa na magaidi hasa wale wa Al Shabaab. Ulinzi umeongezwa katika miji mikubwa ili kuwadhibiti haraka magaidi endapo watakua na mipango ya kufanya au kufanya shambulio lolote la kigaidi.
c0e4be882d10435eb16fa93ee16b4614_XL
Wiki hii haikua nzuri kwa msanii Redsan wa nchini Kenya mara baada ya kukamatwa na askari polisi nchini Kenya akizaniwa kua ni mmoja wa magaidi. Inadaiwa kua gari aliyokua akiendesha Redsan ilisimamishwa na askari lakini msanii huyo aligoma kusimamisha gari yake hadi pale alipokamatwa na askari wa kitengo cha ugaidi na kupelekea kulala usiku mmoja ndani ya kituo cha polisi.
Kwa bahati nzuri  polisi nchini humo waligundua kua wamemkamata kimakosa na kuamua kumuachia huru baada ya kukaa ndani zaidi ya masaa 38. Unaweza tazama video ya Redsan akielezea yaliyomkuta hapa chini