Thursday, 21 June 2012


I am opening my HOME studio (full address below) on 
Saturday and Sunday 21st and 22nd July, from 13.00 - 19.00.

I will be showing and selling ten magnificent original paintings by the 
famous African contemporary surrealist artist, Kivuthi Mbuno.  


tb
          logo tb logo
tb
          logo tb logo


Mbuno was born in 1947 and lives in Kenya.  Since discovered by the American photographer 
Peter Beard, Mbuno exhibited all over the world including Corcoran Gallery in Washington DC, 
Völkerkunde Museum in Germany, Center for African Art in New York, Dallas museum of Art 
in New Orleans, Carnegie Museum of Art in Philadelphia, and Saatchi Gallery and Tate Modern Art 
Museum in London. 

Kivuthi’s work has featured in the book ‘Contemporary African Art’ by Sidney Littlefield 
published by Thames & Hudson in 2008.

Mbuno’s unique paintings have stunning ‘contemporary’ finish.  He paints in acrylic, ink, 
crayons and coloured pencils on paper and canvas.  
 The paintings convey the idea of 
‘luminous and peaceful world where nature regains her role as the mother, goddess, and 
the queen of the Earth and its people.’ 

We will be selling Mbuno’s work at very good prices: a medium painting (45x60cm) - £550, 
and a large painting (60x95cm) - £1,150.   This is a rare investment opportunity!  
The paintings are not framed.  You can also order a limited edition (175) print of any painting; 
60x45cm print costs £85.  

50% of the sale goes to Mbuno, and the other 50% - to our charity MASK. mobileartschoolinkenya.org
I hope you can come along, and help both, Mbuno and MASK.  

I will be also selling my own paintings in aid of MASK. 

Please forward this email to anyone who might be interested. 

Please RSVP if you can. 

Best wishes,

Alla

3 ‘A’
Alderney Street

Pimlico

London SW1V 4ES
07957734313
Nearest tube station Victoria

TB LOGO
Mbuno is giving a masterclass to MASK's young artists, Nairobi, 2011

--

Alla Tkachuk
Director of M.A.S.K. (Mobile Art School in Kenya)

MASK: unleashing creativity in young people in Africa
UK charity No:1128734

mobileartschoolinkenya.org
 +44 (0)7957 73 43 13

1 Finsbury Circus, London EC2M 7SH, UK

We would appreciate your support. Please donate on
: 
justgiving.com/Mobile-Art-School-Kenya/

tb logo


 Marehemu Willy Ogunde Edward 
---

·     *Yasema ni pigo kubwa kwa wadau wa habari
·         *Yawataka wanahabari kumuenzi

Dar es salaam Juni 19, 2012. 
Kampuni ya simu ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imepokea kwa mshtuko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha ghafla cha mwanahabari mahiri Bw. Willy Ogunde Edward kilichotokea usiku wa kuamkia Jumatatu wiki hii.

“Tunatoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu, waajiri wake na kipekee familia ya wanahabari nchini kwa kuondokewa na mpiganaji na kamanda wetu aliyekuwa sehemu muhimu ya ujenzi wa tasnia ya habari nchini.”Alisema Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania Bw. Rene Meza

Marehemu Willy Edward alikuwa ni mdau wa habari mwenye msaada na ushauri pale anapohitajika na aliiwakilisha vyema tasnia hii ya habari tangu alipokuwa Majira mpaka kabla umauti haujamkuta akiwa Mhariri wa habari wa Jambo Leo.

Marehemuatakumbukwa kwa jinsi ambavyo alikua mahiri katika kazi yake, ndani na nje ya mipaka ya Tanzania na kwamba mchango wake utaendelea kuwa chachu hasa kwa vizazi vijavyo vya wanahabari chipukizi nchini.

“Tutamkumbuka sana Marehemu Willy ambae alikuwa ni mpole na mcheshi na mwenye utashi wa mafanikio katika kazi zake. Hakusita kutoa ushauri kuboresha uandishi wa habari ili kutoa ujumbe uliokamilika na sahihi pale alipoona mapungufu kutika habari husika”. Alisema Meza.

Mkurugenzi huyo Mkuu wa Vodacom amesema kampuni yake daima ina thamini na kuheshimu mchango wa wanahabari katika maendeleo ya taifa na uimarishaji ustawi wa jamii na kuamini kuwa wanahabari waliobaki wataendeleza urithi (Legacy) aliouacha marehemu Willy.

Mungu azilaze roho za Marehemu BwWilly Ogunde Edward mahali pema peponi –Amen.

 Lissa Jensen
Lisa Jensen ndie mrembo ambaye atakayeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World 2012yanayotarajiwa kufanyika tarehe 18 August huko Ordos,Inner Mongolia,China katika ukumbi wa Dongsheng Fitness Center Stadium.Mashindano ya dunia ya urembo mwaka huu ni mashindano ya 62 kufanyika.


  Muakilishi wa Jimbo la Chakechake Omar Ali Sheheakiwa pamoja na Mwakilishi wa kuteuliwa Panya Othman CCM wakiingia katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi huko Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar
  Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa rais Mohd Aboud akibadilishana mawazo na Muakilishi wa Mji Mkongwe Ismail Jusa Ladhu ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi huko Bweni Nje ya Mji wa Zanzibar.
  Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakisikiliza kwa makini hoja mbalimbali zinazotolewa ndani ya Baraza hilo huko Bweni Nje ya Mji wa Zanzibar.
  Wanafunzi wa Skuli ya SOS ya Kiembe samaki waki wa nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi wakijitayarisha kuingia kwaajili ya kusikiliza Michangio mbalimbali inayotolewa na Wajumbe wa Baraza hilo.Picha na Yussuf Simai-Maelezo,Zanzibar

  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiifunga rasmi Kambi ya Timu ya Soka ya Mkoa wa Kaskazini Unguja hapo katika Jengo la Kituo cha Huduma Rafiki Mahonda. Kulia Ni Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi na Ameir Katibu wa CCM Wilaya na Kaskazini B. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa ZFA Wilaya ya Kaskazini “A” Khamis Kombo.
  Makamu wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akikabidhi mchango wa Shilingi 700,000/- kwa Mkuu wa Msafara wa Timu ya Mkoa Kaskazini Unguja ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa ZFA Wilaya ya Kaskazini B Omar Ali Khamis. Mchango huo ni kwa ajili ya ununuzi wa Viatu kwa Timu ya Soka ya Vijana wa Mkoa huo watakaoshiriki Mashindano ya Copa Coca Cola Jijini Dar es salaam yanayptarajiwa kuanza Mwishoni mwa Wiki hii.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Wana soka wa Mkoa wa Kaskazini Unguja chini ya umri wa miaka 17 katika hafla ya kuifunga rasmi kambi yao hapo katika Jengo la kituo cha Huduma rafiki Mahonda Mkoa wa Kaskazini Unguja. Timu hiyo inatarajia kuwa miongoni mwa wana michezo watakaoshiriki kwenye mashindano ya Copa Coca Cola yatakayoanza Jijini Dara es salaa Mwishoni mwa Wiki hii.
Older Posts