Wednesday 26 January 2011




TANZIA READING UK

Familia ya Ezekiel Mukundi wa Reading-United Kingdom, inasikitika kuwatangazia msiba wa Magesa Mwijarubi (Kaka ya mke wake - HAPPY) kilichotokea alfajiri ya tarehe 25/01/2011 Dar-es-salaam-Tanzania.

Marehemu ni kaka ya : HAPPY MUKUNDI na DOTTO MWIJARUBI wote wakazi wa Reading UK

Habari za msiba huu ziwafikie watanzania wote waishio Readinge na sehemu zingine za UK na ndugu wote, jamaa na marafiki popote walipo.

TEL: 0782633425; 07776423030; 07990697949

ADDRESS: 9 FRIETH CLOSE, LOWER EARLY,READING. RG6 5UY