Office of the Press Secretary
_________________________________________________________________________________________________________________
FOR IMMEDIATE RELEASE January 9, 2011
Statement by the President on Sudan
I am extremely pleased that polling has started for the Southern Sudan Referendum, and congratulate the people of Southern Sudan who are determining their own destiny. This is an historic step in the years-long process to fully implement the Comprehensive Peace Agreement that ended the civil war between north and south. The international community is united and determined to ensure that all parties in Sudan live up to their obligations. We know that there are those who may try to disrupt the voting. Voters must be allowed access to polling stations, and must be able to cast their ballots free from intimidation and coercion. All sides should refrain from inflammatory rhetoric or provocative actions that could raise tensions or prevent voters from expressing their will. Violence in the Abyei region should cease. And while a successful vote will be cause for celebration, an enormous amount of work remains to ensure the people of Sudan can live with security and dignity. The world will be watching in the coming days, and the United States will remain fully committed to helping the parties solve critical post-referendum issues regardless of the outcome of the vote.
###
H.E Masire Mwamba -Commonwealth deputy secretary General- recieves the Ben tv diplomata award- Africa Diplomat of the Year Awards from the CEO of Ben tv Dr Alistair soyode
Secretary Clinton signs PEPFAR Partnership Framework Agreement with South African Minister Maite Nkoana-Mashabane in the Treaty Room at the State Department.
State Dept Image by Michael Gross / Dec 14, 2010

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Zanzibar For Democracy (U.K.)inachukua nafasi hii ili kuwapa pole na kuwafariji wanachama wa CUF na wananchi waliojeruhiwa na kukamatwa katika maandamano ya kuwasilisha rasimu ya katiba mpya;Wakati huo huo Jumuiya inawapongeza sana viongozi na
wanachama wa CUF na wananchi waliojitolea kushiriki katika maandamano hayo na kufanikiwa kuiwasilisha rasimu hiyo.
Hatua hiyo waliyoichukua inathibitisha uelewa wao wa kiwango cha juu wa mapungufu yaliyomo katika Katiba iliyopo sasa ambayo haikidhi matakwa ya wananchi wengi wa Tanzania.
Tunaamini kuwa rasimu hiyo ni kielelezo halisi cha matakwa ya wananchi walio wengi na itakidhi kabisa hoja zote za kikatiba na kisheria ambazo kwa muda wote zimekuwa ni miongoni mwa matatizo ya msingi yanayoidhoofisha demokrasia nchini.
Tunataraji kuwa hatua iliyochukuliwa na wananchi hao itakuwa ni changa moto muhimu sana kwa viongozi wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ngazi zote na kila mmoja wao ataikubali na kuitafsiri kuwa ni kichocheo cha kufungua kwa upana zaidi milango ya siasa za uwazi na kuwa ni dira kamili ya demokrasia iliyokamilika.
Tunaziomba taasisi zote za kiserikali na zile ambazo si za kiserikali kuunga mkono rasimu hiyo ili nchi yetu iweze kupata katiba mpya na tuachane na tabia ya kutia viraka kwani kufanya hivyo ni kuongeza matatizo badala ya kuyatatua.
Aidha,tunawasifu sana wale wote walioiandika rasimu hiyo, kwani wao wameonyesha na kuthibitisha kwa vitendo namna wanavyoipenda na kuitakia mema nchi yetu. Tunawaomba wananchi wote waiunge mkono rasimu hiyo ili tuondokane na migogoro na mivutano inayokwamisha maendeleo.
Ahsante.
(Abdulla A.Abdulla),
KATIBU,
ZANZIBAR FOR DEMOCRACY(U.K.)