Kova: Tumeshakamata Sita Wizi NMB
Na Romana Mallya
Siku moja baada ya Jeshi la Polisi nchini kutangaza donge nono la Sh. milioni tano kwa mwananchi atakayefanikisha kukamatwa kwa watuhumiwa wa ujambazi waliopora fedha Sh. milioni 61.3 mwishoni mwa wiki katika benki ya NMB tawi la Temeke, Dar es Salaam, Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam wanasema wamewatia mbaroni watuhumiwa sita.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Suleiman Kova alisema jana kuwa, pamoja na polisi nchini kutangaza donge nono hilo juzi, wao wamefanikiwa kuwakamata watu sita ambao hata hivyo hakubainisha waliwakamata lini na wapi.
Alikataa kutoa maelezo zaidi kwa maelezo kuwa ni sababu za kiupelelezi kwa kuwa watuhumiwa wana mbinu za hali ya juu na kwamba wanafuatilai nyendo za polisi wanaowasaka.
Kauli hiyo ya kamanda Kova imekuja ikiwa imepita siku moja baada ya Msemaji wa jeshi hilo, Abdallah Mssika, kuwaomba wananchi wawasaidie kuwabaini watuhumiwa hao kwa maelezo kuwa kunahitaji nguvu ya pamoja kati yao na wananchi. Kova alipotakiwa kuwataja majina ya watu hao wanaowashikilia alisema kwa sasa ni mapema na kwamba uchunguzi dhidi yao unaendelea. Katika tukio hilo majambazi hao zaidi ya kumi, walifyatua risasi za moto kadhaa na kurusha mabomu matatu ya mkono ambayo yalisababisha kifo cha mlinzi wa kampuni binafsi ya ulinzi, Seif Mwikwike na kujeruhiwa watu kadhaa.
Kati ya majeruhi waliotokana na tukio hilo, askari Koplo Josephat Milambo ambaye bado amelazwa katika Taasisi ya Mifupa (MOI) wodi ya wagongwa Mahututi (ICU) akiendelea na matibabu.
PRESS RELEASE
A documentary on Tanzania 's number one blogger Issa michuzi will be shown on Swahili Diaries- Teusday the 4th aug 2009 BEN TV SKY CHANNEL 184 at 10 pm UK time.This documentary outlines the life of issa michuzi as a blogger and journalist in Tanzania
Please send your views to issamichuzi.blogspot.com
Should you need more information pleas do not hesttate to contact me
Thank you
Ayoub mzee
Presentet/Producer
swahili diaries
tel.447060811614
www.ayoubmzeeblogspot.com

Dar es salaam city center-view from the former British high commision building
Kazi! Kazi! Tufanye kazi na nguvu zote-Tujenge Taifa letu
This is kilimanjaro -kempiski Hotel
Photos ayoub mzee
Photos ayoub mzee
PRESS RELEASE
Global polls show Commonwealth popular in developing countries but underrated in richer countriesNationally representative surveys in seven Commonwealth countries (Australia, Canada, Great Britain, India, Jamaica, Malaysia and South Africa) are published today by the Royal Commonwealth Society to launch ‘The Commonwealth Conversation’. This large-scale public consultation across five continents, to mark the Commonwealth’s 60th anniversary this year, will look at the future of the 53-member association, what it should focus on and how it can raise its profile.On average, people in developing countries were twice as likely to think the Commonwealth was important compared to developed countries. Indians value the Commonwealth more than America or South Asia. South Africans value it more than America or Africa. Yet, Canadians are four times more likely to value America higher, Australians are twice as likely to value Asia higher, and the Commonwealth comes a distant third behind Europe and America to Britons. Only about a third of Australians or Canadians would be sorry or appalled if their country left the Commonwealth, compared to two-thirds of Indians and Malaysians. In general, of the countries polled, the Commonwealth was least valued in Great Britain.Levels of knowledge about the Commonwealth are low. Only a third of people polled could name any activity carried out by the Commonwealth and only half knew the Queen was the head. A quarter of Jamaicans think President Barack Obama is the head, and one in ten Indians and South Africans think Kofi Annan is head.Dr Danny Sriskandarajah, Director of the Royal Commonwealth Society said:“At sixty not out and with some big hits along the way, the Commonwealth has had a strong innings so far. But now we need to find a second wind to make the century.While few people dislike the Commonwealth, our polls show that not enough people know much about it or have reason to love it. The Commonwealth Conversation is a rare and important opportunity for people to shape the future of their association.”Asked to comment, Rt. Hon. David Miliband MP, UK Foreign Secretary said:“There are two billion people out there who are members of the Commonwealth family and I don’t think we have done a good enough job talking to them about the future of the Commonwealth. The Commonwealth was founded on the basis of strong shared values but it needs to prove its worth. I think that can not just be done by the elites of the Commonwealth. It needs to be driven forward on a wider scale and that’s why I welcome not just the substance of the Conversation but the process as well.”Asked to comment, H.E. Kamalesh Sharma, Commonwealth Secretary-General said: “It is very important that there is a continuing dialogue about the Commonwealth among its peoples. I therefore welcome the Commonwealth Conversation, and look forward to the new ideas that it will bring.” Notes to EditorsCommonwealth Conversation: The Commonwealth Conversation will be launched in London at the headquarters of the Royal Commonwealth Society (RCS) at 12.15 GMT (13.15 BST) on Monday, 20 July 2009 by the Director of the RCS and UK Secretary of State for the Foreign and Commonwealth Office. The RCS will present the poll results, and the Foreign Secretary will launch a paper outlining the UK’s position.The centrepiece of the Commonwealth Conversation will be an open, interactive website that will host discussions and invite ideas. Several notable people have already contributed, including President Nasheed of the Maldives, Pakistani cricketer and politician Imran Khan, and former Private Secretary to the Her Majesty the Queen, Lord Robin Janvrin. The Conversation will also involve offline discussion groups, expert meetings and other events around the Commonwealth. Findings from the Conversation will be presented to the Commonwealth Heads of Government Meeting in Trinidad and Tobago in November 2009. A final report will be published in early 2010. Website: http://www.thecommonwealthconversation.org/ (to be formally launched on 20 July)The Commonwealth: The modern Commonwealth was established with 8 members in 1949. In 2009, it has 53 members with a total population of nearly 2 billion. It is an association of governments and peoples, built around shared language, institutions, challenges, aspirations and values. The Commonwealth promotes democracy, development, and diversity within its member countries and across the world.The RCS: The RCS is the oldest and largest civil society organisation devoted to the Commonwealth. Founded in 1868, the RCS conducts a range of events and activities aimed at promoting international understanding. Headquartered at the Commonwealth Club in London, the RCS has some 5000 members in the UK and a presence in some 40 Commonwealth countries through a network of branches and Commonwealth societies. Polling methodology: The surveys were carried out between 26 June 2009 and 13 July 2009 (except in Great Britain where they were conducted in March 2009). The surveys were carried out online by YouGov Plc, except the Jamaican survey which was conducted over the telephone by Hope Enterprises Ltd. Each survey had a sample size from 500 to 2,119 respondents, and was representative of the adult population of each country. Full results are available on request. Contacts: For interviews and analysis please contact Zoë Ware on +44 (0)7775682187 or zoe.ware@thercs.org
RCS switchboard: +44 (0) 20 7930 6733http://www.thercs.org/
Zoë WareCommonwealth Affairs Manager
Tel: +44 (0)20 7766 9240 Fax: +44 (0)20 7930 9705 http://www.thercs.org/
Tel: +44 (0)20 7766 9240 Fax: +44 (0)20 7930 9705 http://www.thercs.org/
The Royal Commonwealth Society is a Registered Charity in England and Wales and a Body Incorporated by Royal Charter. Registered Charity No: 226748. Registered office: 25 Northumberland Avenue, London WC2N 5AP.