
Uharibifu mkubwa umefanyika ambapo nyumba 16 na magari tisa yameteketea moto.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama pamoja na kamati ya ulinzi na usalama wakitizama uharibifu uliofanywa na wafugaji jamii ya Masai.


Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akitizama moja ya gari lililochomwa moto na watu wanaodaiwa kuwa ni wafugaji jamii ya Masai.