Sunday, 4 November 2012


UKIMWONA RAY C UTAMWAGA MACHOZI..HIZI NI BAADHI YA PICHA

HAYA  NDO  MADHARA  YA   BANGI NA MADAWA YA KULEVYA......NI BORA  TUJIFUNZE  KUTOKANA  NA MAKOSA....
RAY C ANATIA HURUMA.LAWAMA  ZOTE ZIMEELEKEZWA KWA  LORD  EYEZ  AMAYE NDIYE ALIYEMFUNZA KUTUMIA  MADAWA YA  KULEVYA 
SHUKRANI ZA DHATI KWA GLOBAL PUBLISHER: 
HABARI IMEANDIKWA KWA KIREFUKATIKA GAZETI LA LEO LA  IJUMAA