Watanzania Wote,
Tunapenda kuwapa habari nzuri kuwa Jumuiya yetu hapa Reading imepata Ofisi kwa ajili ya shughuli za Jumuiya.
Anuani ni 35-39 London Street
Office No 4
Second Floor
Reading Berkshire
RG1 4PS
Tungependa kuwashukuru wote walioshiriki katika kufanikisha upatikanaji wa ofisi hii.
Wote mnakaribishwa.
TA Timu Reading & Berkshire
--
Jumuiya Ya Watanzania Reading-UK
Blog :http://www.tanzaniaassociation-reading.blogspot.com/
Email:tzra2009@gmail.com
Tel No: +447865673756