Sunday, 15 August 2010

Please dedicate your time to read Quaran, the website below will guide your way Inshaaallah.

Ramadhan Mubarak

MaalimWebsite: http://tanzil.info/ . Upande wa mkono wa kushoto kuna wasomaji wa Qurani wote maarufu, juzuu zote 30, sura zote pamoja na chaguo la tafsiri ya lugha unayoitaka unaweza kusikiliza au kusoma tafsiri yake, baada ya chaguo lako la lugha unayoitaka iguse aya yoyote na utaona tafsiri yake.Tafadhali tuma kwa wengine kwa faida ya umma wa kiislam

Kiungo kizuri.

Allah amlipe kila aliyepeleka email hii kwa waislam wenziwe. Na kwa kila herufi iliyosikiwa na kusikilizwa basi Allah amlipe kila mwislam aliyeweza kubofya na kupeleka email hii kwa wengine.Amin!