Friday, 5 December 2008

swahili film-Super Model

SUPER MODEL-FILAMU YA KISWAHILI

Super model Sasha(Cutie Malisa) ni mrembo aliekuwa kileleni mwa mafanikio,nafasi ambayo kila mschana wa leo angependa kuwa nayo.

Pressure ya kazi pamoja na kutojiamini kunampelekea Sasha ajiingize katika utumiaji wa madawa ya kulevya hatimae mrembo Sasha anapoteza kila alicho kijali na kukipenda vikiwemo mumewe mpenzi Brian(Tito Zimbwe) ajira yake ya uanamitindo ambayo ndiyo iliyo muweka mjini Dar es salaam katika maisha ya kifahari na kumpatia umaarufu mkubwa.

Baada ya kukataa ukweli kwa muda mrefu Sasha anabaini kwa rafiki yake mpenzi Gabriella (Chuchu Hans) kama ameathirika na madawa ya kulevya na kukata tama ya maisha baada ya kukiri kuwa alijaribu kwa muda mrefu na kushindwa kuachana na tabia hiyo.

Jee Gabriella atachukua uamuzi gani kunusuru maisha ya Sasha? Ujio wa Mudrik(Khalfan Ahmed”Kelvin”) utabadilisha vipi muelekeo wa maisha ya Sasha?
Nini kitamfanya Sasha atambue kama umaarufu na urembo ni vitu vya kupita?
Nini jamii itajifunza toka kwa mlimbwende Sasha?WATEJA WA UK NA NCHI ZOTE EUROPE NA PANDE ZOTE ZA DUNIA WASILIANA NASI KATIKA
timelinemedialtd@gmail.com
+447971224493-NasirKWA MAJIBU HAYO NA MENGINE MENGI JIPATIE NAKALA YAKO HALISI

FILAMU INA SUBTITTLES KATIKA LUGHA ZA
ENGLISH
FRENCH
ARABIC
PORTUGUESE

FILAM ZITAPATIKANA KWENYE SHEREHE YA UHURU WA TANZANIA ZITAKAZO AMBATANA NA ONYESHO LA JAHAZI MODERN TAARAB LIKIONGOZWA NA MZEE YUSUPH HAPO SIKU YA 13 DECEMBER 2008 KATIKA UKUMBI WA SILVER SPOON OPPOSITE NA WEMBLEY STADIUMReminder from:

TzUK Yahoo! Group

Title:Launching of TzECA & Marking of 47th Anniversary of Tanzania Independence

Date:Friday December 5, 2008
Time:

7:00 pm - 12:00 am
Next reminder:

The next reminder for this event will be sent in 12 hours, 3 minutes.
Location:

@ New Generation, Newhaven Place, Newhaven, Edinburgh, EH6 4LX
Phone:

07766176244
Notes:

An opportunity to come together and celebrate launching of Tanzania Edinburgh Community Association and mingling with great supporters and friends of TanzaniaThere will be African music, delicious African food will be on the menu, and all lots more. Come and start your weekend evening with usGet your ticket quick to confirm your attending!!To buy your ticket visit http://www.tzeca.org.uk/Directions By Buses: Regular bus, Number 10 is the best one that takes you to the gate of Next Generation. Other buses are Number: 11 and 16 which are also both regular stopping at ASDA Newhaven, a walking distance to Next Generation.NB:Please note that if you wish to attend this event (which should be great) and do not want to pay for a ticket online, you can send a cheque for £12 made out to 'Tanzania Edinburgh Community Association' and a stamped addressed envelope to:c/o Dr Monica MhojaTzECA10 Harvesters SquareEdinburgh EH14 3JN.Dr. Monica Mhoja will then send you your ticket.Please do this as soon as possible!