Sunday, 28 June 2015
http://3.bp.blogspot.com/-L8wQDi80vHY/VY1qKVhi8BI/AAAAAAAAfwY/JvpAFYoRhp8/s1600/1.jpg" imageanchor="1" style="margin-left: 1em; margin-right: 1em;">http://3.bp.blogspot.com/-L8wQDi80vHY/VY1qKVhi8BI/AAAAAAAAfwY/JvpAFYoRhp8/s640/1.jpg
" width="640" />
 Katibu wa Chama
Cha Mapinduzi (CCM), Siasa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kushoto), akigana
na wafanyakazi wa kampuni ya Uhuru Publications Ltd (UPL), inayochapicha
magazeti ya Uhuru na Mzalendo waliofika kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya
CCM jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya mazungumzo naye na baadae kuapata muafaka
kufuatia mgogoro uliokuwa ukifukuta katika kampuni hiyo.

http://4.bp.blogspot.com/-2nkwK8mJ-uw/VY1rl-YMaAI/AAAAAAAAfxI/k9V4B7i8Wyw/s1600/2.jpg" imageanchor="1" style="margin-left: 1em; margin-right: 1em;">http://4.bp.blogspot.com/-2nkwK8mJ-uw/VY1rl-YMaAI/AAAAAAAAfxI/k9V4B7i8Wyw/s640/2.jpg" width="640" />
  Katibu wa Chama
Cha Mapinduzi (CCM), Siasa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (wa pili kushoto),
akifurahia jambo na wafanyakazi wa kampuni ya Uhuru Publications Ltd (UPL),
inayochapicha magazeti ya Uhuru na Mzalendo waliofika kwenye Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya mazungumzo naye na
baadae kupata muafaka kufuatia mgogoro uliokuwa ukifukuta katika kampuni hiyo.

http://3.bp.blogspot.com/-BP_ipYXRibc/VY1rlJ0G7bI/AAAAAAAAfww/ojmZzvJlkqE/s1600/3.jpg" imageanchor="1" style="margin-left: 1em; margin-right: 1em;">http://3.bp.blogspot.com/-BP_ipYXRibc/VY1rlJ0G7bI/AAAAAAAAfww/ojmZzvJlkqE/s640/3.jpg" width="640" />
 Katibu wa Chama
Cha Mapinduzi (CCM), Siasa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (mwenye miwani nyuma),
akifurahia jambo na wafanyakazi wa kampuni ya Uhuru Publications Ltd (UPL),
inayochapicha magazeti ya Uhuru na Mzalendo waliofika kwenye Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya mazungumzo naye na
baadae kupata muafaka kufuatia mgogoro uliokuwa ukifukuta katika kampuni hiyo.

http://2.bp.blogspot.com/-oRLD01iZT58/VY1q2hefigI/AAAAAAAAfwg/gVD2fKVvPgE/s1600/4.jpg" imageanchor="1" style="margin-left: 1em; margin-right: 1em;">http://2.bp.blogspot.com/-oRLD01iZT58/VY1q2hefigI/AAAAAAAAfwg/gVD2fKVvPgE/s640/4.jpg" width="640" />
Katibu wa Chama
Cha Mapinduzi (CCM), Siasa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (wa pili kushoto),
akiagana na Kaimu Mhariri Mtendaji wa kampuni ya Uhuru Publications Ltd (UPL),
inayochapicha magazeti ya Uhuru na Mzalendo, Ramadhan Mkomwa baada ya kikao na
wafanyakazi wa kampuni hiyo, waliofika kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM
jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya mazungumzo naye na baadae kupata muafaka
kufuatia mgogoro uliokuwa ukifukuta katika kampuni hiyo.