Meneja Mkuu wa BG Tanzania Derek Hudson akiwa na wanafunzi waliodhaminiwa kupata elimu ya juu ya stashahada ya uzamili.
 Meneja Mkuu wa BG Tanzania Derek Hudson pamoja na Mkurugenzi wa British Council nchini wakiongea na waandishi wa habari
---
27 Agosti, 2014, Dar es Salaam, Tanzania–
BG Tanzania  iliandaa hafla  kwa ajili ya  kuwaaga wanafunzi kumi watanzania wali
o
 faulu  kupata udhamini  wa  elimu ya juu ngazi ya stashahada ya uzamili ( Masters of science degree )  ya sayansi kwenye vyuo vikuu  nchini Uingereza. 
Katika hafla hii, wanafunzi watapata fursa ya kukutana na Meneja Mkuu wa BG Tanzania ( Derek Hudson) pamoja na wafanyakazi na wadau Mbalimbali.