
Rais Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi wengine akikata
utepe kuzindua  ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo Januari 4, 2013

 
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete na mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za
 Tanzania, Uganda na Burundi Bw Phillipe Dongier, wakifunua kitambaa cha
 jiwe la msingi katika uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma 
leo Januari
4, 2013


 
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akipena mkono na mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za
 Tanzania, Uganda na Burundi Bw Phillipe Dongier, muda mfupi baada ya kufunua kitambaa cha
 jiwe la msingi katika uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma 
leo Januari
4, 2013



Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi Bw. Phillipe Dongier akitoa hotuba
kwa kiswahili fasaha wakati wa sherehe za  uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo Januari 4, 2013


 Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya 
Muungano eneo la Kibaoni wilayani Uvinza, Kigoma, akiwa njiani kuelekea 
mjini Kigoma, akitokea kukagua ujenzi wa daraja la Mto Malagarasi leo

 
 
 
