Wednesday, 31 August 2011Mh mgeni rashi Balozi Mwanaidi Maajar akiwa na waumini katika futari iliyoandaliwa na jumuiya ya Kiislamu Tanzanian Muslim Community, kwenye ukumbi wa Hillandale Local Park, New Hampshire Avenue, Silver Spring Maryland Nchini Marekani.