Tuesday, 29 December 2009Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ) wa Kikosi cha 92 KJ, kilichopo katika Tarafa ya Ngerengere, Wilaya ya Morogoro wakishiriki katika hekaheka za kuokoa wananchi na mali zao na wananchi waliozingirwa na mafuriko katika kijiji cha Kidugaro, asubuhi ya Desemba 27, mwaka baada ya mto Ngerengere kujaa maji na kuacha mkondo wake.Picha na Mdau John Nditi-------Kwa Habari zaidi juu ya afuriko haya soma Habari Leo kwa Kubofya Hapa na Dailynews >>>>>>>The Commonwealth Olympic Games Torch relay in Tanzania