Tuesday, 26 November 2013


Ndugu  zangu ,Kuna taarifa mitaani kwamba  hii  shuhuli  haitofanikiwa na  kwamba   usiku haipo.Tunapenda  kuwafahamisha  wote  wale  mnoa  tuamini na  kututhamini kwamba  shuhuli  ipo  kama  tulivyo  kusudia  panapo  na  majaliwa .Shuhuli itaanza sa  4 ahsubuhi  hadi  usiku  saa 10.Wanaopenda  maendeleo  na  mshikamano  wa  jamii karibu sana  .Ahsanteni  sana