Sunday 8 April 2012

The late kanumba;s mother
HAYA kwa mliokua mnauliza Lulu gani..Okey Huyu Ndiye Lulu,Yule muigizaji ambaye anakua mbele ya macho yetu tunamuona..Inasemekana alikua mpenzi wa Kanumba kisiri Siri na Lulu alienda kwa Kanumba ili watoke yesterday night..

Well Stori inaendelea Kuwa, Kanumba alienda Kuoga Huku nyuma mpenzi wake Lulu akawa anaongea na simu, Marehemu kuja anakuta Lulu anaongea na simu ndipo Ugomvi ulipotokea….

Dakika baadae Lulu alitoka chumbani na kumuita mdogo Kanumba Kuwa aende chumbani kwani Kanumba kadondoka…mdogo mtu Kwenda chumbani akaamua kumpigia simu Daktari aw Kanumba ambaye walijitahidi kumpeleka Muhimbili na ndipo mauti yalipomkuta…

Lulu baada ya tukio Hilo,alikimbia akiwa uchi(from PS blog). Lakini walibahatika kumshika na Hivi Sasa anashikiliwa na kituo cha polisi cha Oysterbay..

Inasemekana walikua na Ugomvi mkubwa kwani Hata Lulu ana majeraha makubwa usoni yaliyosababishwa na kipigo alichokipata kutoka kwa mpenzi wake (Marehemu)

Zidi ku-Angalia Bongo Kwaajili ya full Coverage...