Wednesday, 13 April 2011

Tunasikitika kuwatangazia kifo cha Baba Mzazi wa Richard na Marieta Rupia kilichotokea alfajiri ya leo huko Tanzania wafiwa wanatarajia kusafiri kesho ili waweze kuwahi mazishi msiba upo
4Hollydalle close, Reading Rg2 8LL please naomba mfahamishe mwenzako kwa pamoja tufike kuwafariji wafiwa kama utamaduni wetu ulivyo.
--
Jumuiya Ya Watanzania Reading-UK
Blog :http://www.tareading.blogspot.com/
Email:tzra2009@gmail.com
Tel No: +447865673756