Thursday 9 December 2010

TAMKO LA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA –UK KUHUSU MAADHIMISHO

RASMI

INDEPENCE DAY-LONDON




WaTanzania wenzangu walioko Uingereza na nchi jirani, Kwa niaba ya

JUMUIYA YA WATANZANIA –UK TANZ-UK (formely TA)

Ningependa kuwaalika wote katika maadhimisho RASMI yaINDEPENDENCE DAY jumamosi hii ijayo ya Tarehe 11-12-2010, ikiambatana na Professional Networking Forum na ufunguzi rasmi wa website ya jumuiya. Pamoja na sherehe za uhuru pia watanzania mtapata nafasi ya kumkaribisha rasmi Balozi wetu Mpya Mh. Peter Kallaghe na Familia yake katika Jumuiya yetu hapa Uingereza.







Mahali : Stratford OldTown Hall, 29 The Broadway, London E15 4BQ



Muda : 14pm – 18pm Professional Networking Forum

:20pm – alfajiri – Welcoming H.C.; WebsiteLaunch; Dinner and Music



Angalizo:Tungependa pia kuweka wazi kuwa kunamatangazo mengi yanayo jaribu kutangaza

shuguli kama hii. Lakini Shuguli RASMI iliyoandaliwana JUMUIYA YA WATANZANIA NI MOJA

TUU . ITAKUWA KATIKA UKUMBI WA

Stratford Old Town Hall, 29 The Broadway, London E15 4BQ



JUMUIYAHAINA UHUSIANO NA SHUGULI NYINGINE YOYOTE. POPOTE PALE SIKU HIYO ZAIDI YA HII.

MGENIRASMI – MH. Peter Kallaghe- Balozi wa Tanzania–UK

Natanguliza shukranizetu za dhati

Karibuni Wote

Dr.JOHN ELTON LUSINGU- Mwenyekiti –TANZ- UK



--

Director Of Communication
CCM Branch -Reading ,Berkshire .United Kingdom
Telephone No:+447876126862