Tuesday, 13 July 2010

CCM OYE

IMAN CONGREGATION (SWAHILI SERVICE IN READING) WANAKULETEACONCERT IN READING UK

SATURDAY 24th OF JULY


UKUMBI:
READING SPORTS ACADEMY LEISURE CENTRE, NORTHUMBERLAND AVENUE, READING, RG2 8DF

TIME
17:00 – 22:00

KINGILIO
£15 POUNDS INCLUDING UPENDO GROUP CD OR DVD


PATA UJUMBE MZITO KUTOKA TANZANIA ULIOLETWA NA VIJANA WA UPENDO GROUP; TUMIA MUDA HUU VIZURI KUMTUKUZA MUNGU.

KWA MAWASILIANO WASILIANA NA: MCHUNGAJI TUMAINI (07956522072), ALJANES RWIZA (07900008211) NA DAVIS BANDUKA (07908010344
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pampjana Rais wa Zanzibar Amani Abedi Karume(kulia) pamoja na Makamu wa RaisDr.Ali Mohamed Shein(wapili kushoto), pampja na mgombea mwenzaDr.Mohamed Gharib Bilal mwishoni mwa mkutano mkuu wa CCM mjini Dodomajan usiku.
Mwenyekiti wa CCM ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulishaMgombea Urais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein(kushoto) na mgombeamwenza bara Dr.Mohamed Gharib Bilal kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa CCMjana usiku

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpongeza Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuchaguliwa kwa zaidi ya silimia 99kuwa mgombea pekee wa Urais kwa tiketi ya CCM(picha na Freddy Maro)