Thursday, 18 February 2010

TANGAZO LA MWALIKO

Familia ya Mzee na Mama Elton Lusingu Ilioko
Reading (wingereza), Ingependa kuwaalika ndugu wote, jamaa na marafiki, kujumuika nao kwenye hafla maalum ya kushukuru kwa mafanikio ya shuguli zote za msiba wa ndugu yao mpendwa
Sophia Musa Hayuma Gerald
Hafla hii imepangwa kufanyika
Tyndale Baptist Church
Cressingham Road, Reading
RG2 7JE

Jumamosi ya Tarehe : 20th -02-2010

Kwaanzia Saa: 09.00 Mchana - HADi – 03.00 Usiku
Mnakaribishwa wote