Sunday 5 July 2009




R.I.P PROFESA HAROUB OTHMAN.
Marehemu Profesa Haroub Othman (kulia), akiwa na Ali Sultan Issa pamoja na Dk.Salim Ahmed Salim wakisikiliza hotuba fupi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Seif Sharif Hamad, wakati wa uzinduzi wa kitabu kinachoitwa ‘Race, Revolution and struggle for Human Rights in Zanzibar’’ muda mfupi kabla ya kifo chake mjini Zanzibar juzi.Picha na Martin Kabemba[HISANI: Haki ngowi]


AFRIKA JAMBO BAND WAKITUMBUIZA RAILWAY TAVERN HAPO FOREST GATE




KILA IJUMA










KAWELE -FINGER PRINTER -MKU WA BENDI






















BARBEQUE LA NGUVU NDANI YA
MILTON KEYNES

SUMMER FAMILY FUN DAY & BARBEQUE IN MILTON KEYNES, ON SATURDAY 11th July from 3:30pm to 11pm at CONNIBURROW PAVILLION,MILTON KEYNES,MK14 7AJ..Triple J'S Bring to you the best music varieties,family games,Along with BBQ (Nyama Choma) & Other foods. Entries £5 adults, Children Free.
Food prices will start from £1,
For more information please contact
07717624731
07946510798..
Thanks In Advance