Friday 6 February 2009




CHAMA CHA MAPINDUZI
TAWI LA LONDON SHEREHE YA KUZALIWA KWA Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Wanachama Wote - C C M Wakereketwa Wote - C C M Watanzania Wote
Tarehe: 07/02/2009
Saa: 12 jioni Hadi Saa 5 usiku
WAPI: 115 Hertford Road Edmonton London N9 7EN
Watanzania ambao wangependa kujiandikisha Uanachama wa CCM, mnaombwa kuleta picha zenu za passport size mbili na paundi kumi na tano (paundi tatu kwa kadi, halafu paundi kumi na mbili kwa ada ya uanachama ya mwaka mzima). Kwa ufafanuzi zaidi, tafadhali wasiliana na: Tinno Msei - 07949000736 Wencheslous Ikumla- 07825253375 Moses Katega - 07728616029 Wote Mnakaribishwa – Kutakuwa na Vinywaji, Vitafunio, Live Band, na mengineyo Baada ya Shughuli Zote. Kiingilio – BURE!!!


-- Susan Mzee
Katibu wa TawiCCM - LondonUingereza