SIMU.TV: Wakuu wa mashirika ya Umma nchini wametakiwa kuongoza mashirika hayo kwa kuzingatia sheria na taratibu ili kuongeza ufanisi; https://youtu.be/LUfS4eH_LmE
SIMU.TV: Wasimamizi wa msimu wa mauzo ya Korosho kwa mwaka 2016/2017 wamewataka wawekezaji kuboresha viwanda vya Korosho walivyovinunua; https://youtu.be/G6X7eqQnpRc
SIMU.TV: Viongozi wa ngazi mbalimbali Ukanda wa Magharibi wametakiwa kushirikiana katika kuhakikisha maisha ya wananchi yanakuwa bora; https://youtu.be/OR9Wg7u0ONo
SIMU.TV: Serikali imetangaza Operesheni maalumu ya kuzuia uzalishaji, usamabzaji na matumizi ya pombe kali aina ya Viroba nchini; https://youtu.be/WNznZsWnCtU
SIMU.TV: Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya hali ya hewa nchini Dkt Agnes Kijazi ametoa taarifa ya muelekeo wa msimu wa mvua kwa miezi ijayo; https://youtu.be/t34j41wBPQA
SIMU.TV: Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema hospitali ya Benjamin Mkapa iliyoko mkoani Dodoma itaanza kutoa Tiba kwa magonjwa maalumu; https://youtu.be/uK0ET7JulIg
SIMU.TV: Bei za mafuta ya Petrol na Diesel imepanda kwa wastani wa asilimia 4 kutokana na kupanda kwa bei katika soko la mafuta duniani; https://youtu.be/_U5VnPpl0Ss
SIMU.TV: Kampuni za mafuta za Oryx Oil na Sahara zimeshinda zabuni za kuagiza mafuta ya Petrol, Diesel na mafuta ya ndege; https://youtu.be/DUwQ38KauBg
SIMU.TV: Wafanyabiashara wa samaki katika soko la Darajani visiwani Zanzibar wamesema mauzo ya samaki yameongezeka kutokana na kuadimika kwa kitoweo hiko; https://youtu.be/leK-7xTZicQ
SIMU.TV: Serikali imeunda kamati ya watu 10 kwa lengo kuhamasisha wadau mbalimbali wa michezo kuchangia timu ya vijana Serengeti Boys kuelekea nchini Gabon; https://youtu.be/KoyjVNHmviA
SIMU.TV: Waziri wa Habari Nape Nnauye amekutana na wadau wa michezo nchini kuweza kuangalia namna ya kuiwezesha Tanzania kufanya vyema michuano ya Olimpiki kule Tokyo; https://youtu.be/5vmE_I3Qqb8
SIMU.TV: Shirikisho la mpira TFF limethibitisha kukamilika kwa ukarabati wa uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuweza kutumika kwa michezo ya Ligi kuu; https://youtu.be/yRPIdNBWTSA
SIMU.TV: Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini Alikiba amewasili nchini leo akitokea Afrika Kusini alikofanya ziara ya kimuziki, tazama hapa mapokezi yake yalivyokuwa; https://youtu.be/E2TU6vX3zaU