Wednesday, 1 June 2016

SIKU YA WADAU WA WINDHOEK ILIVYOFANYIKA HOTEL YA PROTEA COURTYYARD JIJINI DAR ES SALAAM
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, Benadicta Rugemalira, akizungumza na wadau wa windhoek Dar es Salaam jana katika siku ya wadau iliyofanyika Hoteli ya Protea Courtyyard.
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabibi Beer Wines and Spirits Ltd, Jerome Rugemalira akizungumza na wadau hao katika hafla hiyo.
 Mdau wa Windhoek Frank Kamugisha akitoa neno katika 
hafla hiyo.
 Meneja wa Kampuni hiyo, Mr Ruta akizungumza katika hafla hiyo.
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Mabibo na wadau wa windhoek wakifurahia siku hiyo ya wadau.
 Hapa ni furaha tu kwa kwenda mbele.
 Hafla ikiendelea.
 Kikosi cha Windhoek Cultural Troup kikitoa burudani
 Hapa ni Windhoek kwa kwenda mbele meza zimekamilika.
 Kila mtu na jambo lake kinywaji mkononi.
 Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Kampuni ya Mabibo, Benedicta Rugemalira akiwashukuru wadau wa windhoek.
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, Jerome Rugemalira (kulia), akionesha chupa ya windhoek iliyopo sokono yenye mwonekano mpya lakini kinywaji ni kilekile. Wengine ni wadau wa Windhoek.
 Kikosi kazi cha mauzo cha kampuni hiyo.
 Nifuraha tupu kinywaji mkononi.
 Mwenyekiti wa bodi na Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Jerome Rugemalira wakiteta jambo. Mbali ya vyeo hivyo hao ni mama na mtoto wake.
 Ni furaha tupu.

Hapa ni kusakata Rhumba