



Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na uongozi wa 
juu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) jijini Dar es salaam alipotembelea 
jana February 27, 2013. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. 
Vuai Shamsi Nahodha, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange pia 
walihudhuria.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akielekea kwenye uwanja wa sherehe 
baada ya kupata maelezo na kutoa maagizo kwa  uongozi wa juu wa Jeshi la
 Kujenga Taifa (JKT) alipotembelea makao makuu yake jana February 27, 
2013. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Vuai Shamsi 
Nahodha na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange pia walihudhuria.


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya saa toka kwa  Mkuu  wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Raphael Muhuga huku  Waziri
 wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Vuai Shamsi Nahodha, Mkuu wa 
Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange wakishuhudia. Saa hiyo imeandaliwa 
na makamanda wa JKT kumpongeza Rais Kikwete kwa kurejesha mafunzo ya 
jeshi la ulinzi kwa mujibu wa sheria kuanzia mwaka huu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia makamanda wa Jeshi la
 Kujenga Taifa (JKT) alipotembelea makao makuu yao jana February 27, 2013

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na 
uongozi wa juu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) jijini Dar es salaam 
alipotembelea jana February 27, 2013. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la 
Kujenga Taifa Mhe. Vuai Shamsi Nahodha, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies 
Mwamunyange pia wapo.




 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na kada 
mbalimbali za Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) alipotembelea jana February 
27, 2013

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiondoka kwenye uwanja wa sherehe 
baada ya kupata maelezo na kutoa maagizo kwa  uongozi wa juu wa Jeshi la
 Kujenga Taifa (JKT) alipotembelea makao makuu yake jana  February 27, 
2013. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Vuai Shamsi 
Nahodha na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange pia walihudhuria.Picha na IKULU
 
 
 
