PICHA 20@UPDATES HALI YA MAMA YAKE DIAMOND NI MBAYA
Usiku huu Diamond kupitia website yake ameweka picha za mama yake ambaye ni mgonjwa aliyempeleka Marie Stopes baada ya kuzidiwa.
Katika picha hizo Diamond akiwa na mtu aitwaye Dallas anaonekana mtu mwenye majonzi na wakati mwingine akilia kuashiria kuwa kweli mama yake amezidiwa.
Katika picha hizo pia mama yake anaonekana akitapika. Awali Diamond alikuwa ameweka maelezo kusimulia mkasa mzima lakini baadaye ameyatoa na kubakiza picha pekee yake.